IQNA

Kila siku na Qur'ani: Qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 15

Kila siku na Qur'ani: Qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 15

IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 15 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
11:38 , 2024 Mar 26
Qari wa Iran ashika nafasi ya tatu katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tanzania

Qari wa Iran ashika nafasi ya tatu katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tanzania

IQNA - Mwakilishi wa Iran katika Mashindano ya 20 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tanzania ameshika nafasi ya tatu.
18:44 , 2024 Mar 25
Islam, mvulana mwenye umri wa miaka 15 aliokoa maisha ya zaidi ya watu 100 wakati wa hujuma ya kigaidi Moscow

Islam, mvulana mwenye umri wa miaka 15 aliokoa maisha ya zaidi ya watu 100 wakati wa hujuma ya kigaidi Moscow

IQNA - Mvulana mwenye umri wa miaka 15 anayeitwa Islam amesifiwa baada ya kuokoa zaidi ya watu 100 wakati wa shambulio la kigaidi kwenye ukumbi wa tamasha mjini Moscow siku ya Ijumaa.
18:30 , 2024 Mar 25
Msomi  wa Qurani wa China atembelea maonyesho ya Tehran

Msomi  wa Qurani wa China atembelea maonyesho ya Tehran

IQNA - Sheikh Yaqub Mashidu ni msanii wa Kichina na mfasiri wa Qur'ani ambaye amehudhuria Awamu ya 31 ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran.
18:11 , 2024 Mar 25
Kikao cha mafunzo ya Qur'ani nchini Russia chafanyika Tehran

Kikao cha mafunzo ya Qur'ani nchini Russia chafanyika Tehran

IQNA - Kongamano la kujadili masomo ya Qur'ani nchini Russia au Urusi limefanyika kama sehemu ya Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran.
14:32 , 2024 Mar 25
Kila siku na Qur'ani: Qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 14

Kila siku na Qur'ani: Qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 14

IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 14 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
11:32 , 2024 Mar 25
Dua za Kila Siku za Mwezi wa Ramadhani- Siku ya 14

Dua za Kila Siku za Mwezi wa Ramadhani- Siku ya 14

Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
05:36 , 2024 Mar 25
Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran katika Picha

Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran katika Picha

IQNA – Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yanaendelea katika Ukumbi wa Sala wa Imam Khomeini (MA) na yalizinduliwa Jumatano Machi 20 huku yakitazamiwa kuendelea kwa muda wiki mbili.
17:53 , 2024 Mar 24
Ufafanuzi Mpya wa 'Msimamo Mkali' nchini Uingereza walenga Waislamu

Ufafanuzi Mpya wa 'Msimamo Mkali' nchini Uingereza walenga Waislamu

IQNA - Ufafanuzi wa hivi majuzi wa itikadi kali uliopendekezwa na serikali ya Uingereza umelaaniwa kwa kuwalenga Waislamu nchini humo.
15:13 , 2024 Mar 24
Wizara ya Wakfu ya Kuwait yaandaa Mashindano ya Qur'ani ya Familia

Wizara ya Wakfu ya Kuwait yaandaa Mashindano ya Qur'ani ya Familia

IQNA - Toleo la 4 la Mashindano ya Familia ya Qur'ani lilianza nchini Kuwait siku ya Ijumaa.
14:51 , 2024 Mar 24
Kazi za sanaa  katika Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran

Kazi za sanaa katika Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran

IQNA - Kazi tisini zilizochaguliwa za sanaa zinaonyeshwa katika sehemu ya sanaa ya Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran.
14:45 , 2024 Mar 24
Washindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Dubai wazawadiwa

Washindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Dubai wazawadiwa

IQNA - Sherehe za kufunga toleo la 27 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Dubai ambayo hujulikana rasmi kama Tuzo la Kimataifa la Qur'ani Tukufu la Dubai (DIHQA) zilifanyika katika mji wa UAE Jumamosi jioni.
11:48 , 2024 Mar 24
Kila siku na Qur'ani: Qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 13

Kila siku na Qur'ani: Qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 13

IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 13 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
11:00 , 2024 Mar 24
Dua za Kila Siku za Mwezi wa Ramadhani- Siku ya 13

Dua za Kila Siku za Mwezi wa Ramadhani- Siku ya 13

Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku yake, na inaweza kusomwa mara nyingi kadiri ya uwezo wa mtu mwenyewe.
05:52 , 2024 Mar 24
Kipindi cha Televisheni cha Mahfel katika picha

Kipindi cha Televisheni cha Mahfel katika picha

IQNA- Kipindi cha Televisheni cha Mahfel Msimu wa Pili kilianza kuonyeshwa Machi 12 sambamba na kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhani katika kanali ya 3 ya Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB)
20:47 , 2024 Mar 23
2