iqna

IQNA

jeshi
Ayatullah Ali Khamenei
Amiri jeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia udharura wa kutiliwa nguvu uwezo wa operesheni za ki jeshi na misukumo ya kimaanawi na kidini ya vikosi vya ulinzi vya Iran.
Habari ID: 3470238    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/10

Jeshi la Nigeria limeendelea na hujuma zake dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia baada ya kubomoa Huseiniyyah nyingine katika mji wa Zaria ulioko katika jimbo la Kaduna.
Habari ID: 3469062    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/25

Jeshi la Nigeria limemkamata kiongozi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo, Sheikh Ibrahim Zakzaky, baada ya kutekeleza hujuma nyumbani kwake kaskazini wa nchi hiyo.
Habari ID: 3462774    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/13

Kinara wa kundi la kigaidi la Daesh au ISIS, Abubakar al-Baghdadi amejeruhiwa katika hujuma ya Jeshi la Anga la Iraq..
Habari ID: 3384677    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/12

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa Marekani inasaka fursa ya kupenya na kulazimisha matakwa yake kwa taifa la Iran.
Habari ID: 3383038    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/08

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa vikosi vya jeshi la Iran vinapaswa kuzidisha kasi ya maendeleo na kuzidisha utayarifu wake kwa kadiri kwamba, adui asithubutu hata kuwa na fikra ya kuihujumu Iran.
Habari ID: 3377230    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/02

Rais Hassan Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mapema leo kuwa jeshi la ulinzi la taifa hili ni kikosi kikubwa zaidi cha kupambana na ugaidi duniani.
Habari ID: 3366347    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/22

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Ali Khamenei amesema kuwa maadui wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanafanya mikakati ya kubadili itikadi za jamii na kupenya katika vituo vya kutayarisha na kuchukua maamuzi hapa nchini.
Habari ID: 3364408    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/17

Magaidi wa Boko Haram hawawezi hata kusoma Qur'ani Tukufu wala kutekeleza maundisho ya dini ambayo wanadai kupigania wanapotekeleza jinai zao, amesema afisa mwandamizi wa jeshi la Nigeria.
Habari ID: 3355686    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/31

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Iran kamwe haitoruhusu kukaguliwa vituo vyake vya ki jeshi .
Habari ID: 3306128    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/21

Kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kamanda wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC amesema mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni yataendelea hadi Quds Tukufu ikombolewe.
Habari ID: 2743221    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/22

Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Amiri Jeshi Mkuu wa Ma jeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Marekani imekasirishwa na hatua ya taifa la Iran ya kusimama kidete mbele ya mgawanyiko wa dunia katika kambi ya mabeberu na wanaojisalimisha mbele ya mabeberu.
Habari ID: 1409603    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/22