Hayo ni kwa mujibu wa Ara Shaverdian mwakilishi wa Wakristo Waarmenia wa Tehran na Kaskazini mwa Iran katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran. Aliyesema hayo katika kongamano la kimataifa mjini Tehran ambalo lilifanyika Juni 3 katika Haram Takatifu ya Imam Khomeini (MA) chini ya anuani ya "Imam Khomeini na Ulimwengu wa Kisasa".