iqna

IQNA

Haniya
Muqawama (Mapambano ya Kiislamu)
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut.
Habari ID: 3475418    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/24

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) Ismail Haniya na Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina Ziad al Nakhala wamempongeza rais mteule wa Iran Sayyid Ebrahim Raeisi kwa ushindi wake katika uchaguzi wa rais.
Habari ID: 3474098    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/14

TEHRAN (IQNA)- Viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na Harakati ya Jihadi Islami ya Palestina wamekutana na kusisitiza kuhusu ulazima wa kuimarisha na kudumisha umoja baina ya Wapalestina.
Habari ID: 3474057    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/30

TEHRAN (IQNA) – Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) Ismail Haniya , amefika nchini Lebanon kwa mara ya kwanza baada ya miaka 27.
Habari ID: 3473130    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/02

TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetaka Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ichukue hatua za dharura za kuzuia hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel za kunyakua ardhi zaidi Wapalestina katika mji wa Quds (Jerusalem) na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3472661    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/13