iqna

IQNA

makaburi
Waislamu Marekani
WASHINGTON, DC (IQNA) - Kituo cha Kiislamu cha Des Moines kinafanya maandalizi ya kupata makaburi yake, kuashiria hatua muhimu katika kujitolea kwao kudumisha mila za Kiislamu na kupunguza mzigo wa kifedha kwa familia zilizofiwa.
Habari ID: 3477377    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/04

Waislamu Ulaya
TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Waislamu nchini Uholanzi imezindua makaburi makubwa zaidi ya Waislamu wa Ulaya Magharibi nchini Uholanzi.
Habari ID: 3476400    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/14

Waislamu Ujerumani
TEHRAN (IQNA) - Mawe kadhaa ya makaburi ya Waislamu yameharibiwa kaskazini mwa Ujerumani siku ya Jumanne, amesema mkuu wa jumuiya ya Kiislamu eneo hilo.
Habari ID: 3476140    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/24

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Aya ya 21 ya Surah Al-Kahf inabainisha kwamba kujenga msikiti katika makaburi ya watu watukufu na mawalii wa Mwenyezi Mungu sio tu inajuzu bali pia ni jambo ambalo inapendekezwa (Mustahabb).
Habari ID: 3475871    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/02

Waislamu Ulaya
TEHRAN (IQNA) - Halmashauri ya Jiji la Madrid imekubali kutenga ardhi katika mji mkuu wa Uhispania kwa ajili ya ya mazishi ya Waislamu.
Habari ID: 3475559    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/30

TEHRAN (IQNA)- Makaburi ya Waislamu na Wakristo wa Kiothodoxi yamehujumiwa katika mji wa Malmo nchini Sweden katika kile kinachoonikana na kuongezeka chuki zinazochochewa na makundi ya wazungu wenye misimamo mikali ya kibaguzi.
Habari ID: 3475205    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/04

TEHRAN (IQNA) - Mbunge wa Palestina anasema hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuiba ardhi ya Wapalestina huko Quds (Jerusalem) haibadilishi ukweli wa mambo.
Habari ID: 3475005    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/04

TEHRAN (IQNA)- Makaburi ya Waislamu katika mji wa Mulhouse, mashariki mwa Ufaransa yamehujumiwa na watu wasiojulikana Jumapili jioni.
Habari ID: 3474673    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/14

TEHRAN (IQNA)- Makundi ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina yameuonya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuhusiana na kuendelea uvamizi na hujuma dhidi ya maeneo matakatifu ya Kiiislamu huko Palestina hususan maziara makaburi ya al-Yusufiya huko Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3474480    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/27

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu (OIC) imelaani vikali kitendo cha utawala haramu wa Israel cha kubomoa maziara au makaburi ya Waislamu katika mji wa Quds, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3474417    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/13

TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya makaburi ya kale yamegunduliwa mashariki mwa Sudan ambapo yana muundo wa kipekee ambao ulikuwa haujagunduliwa hadi sasa.
Habari ID: 3474085    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/09

TEHRAN (IQNA)- Naibu Spika wa Bunge la Iraq Hassan Karim al-Kaabi ametoa wito kwa Saudi Arabia kukarabati Makaburi ya Baqii katika mji mtakatifu wa Madina.
Habari ID: 3472826    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/02

Waislamu wa Marekani hawakabiliwi na matatizo katika kipindi cha uhai wao tu bali hata wanapofariki dunia matatizo hayo bado huwaandama.
Habari ID: 3470331    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/24

Saudi Arabia imesema kuwa itawazika kwenye makaburi ya umati mahujaji walioaga dunia katika tukio la Mina ambao imeshindakana kutambuliwa.
Habari ID: 3374469    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/29

Maulamaa wa Iraq
Makhatibu wa Sala ya Ijumaa nchini Iraq wametoa wito wa kukarabatiwa makaburi ya Janatul Baqi ambayo yalibomolewa na utawala wa Aal Saud.
Habari ID: 3332765    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/25

Baraza la Kizayuni la mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu limepitisha mpango wa kuyavunjia heshima na kuyabomoa makaburi ya Waislamu katika mji huo.
Habari ID: 3328606    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/15

Magaidi wa kundi la Kitakfiri la Daesh au ISIS wamebomoa makaburi mawili ya kale ya Mawalii wa Allah SWT katika mji wa kihistoria wa Palmyra mkoani Homs nchini Syria.
Habari ID: 3318384    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/24