iqna

IQNA

kupotosha
Majivuno ni tabia mbaya ambayo hupotosha ukweli, humzuia mtu kuufikia ukweli, na humpeleka kwenye unyonge na fedheha katika ulimwengu huu na ujao.
Habari ID: 3477204    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/27

Qur'ani Tukufu inasemaje/10
TEHRAN (IQNA) – Katika kufuatia njia ya mwongozo wa Mwenyezi Mungu kuna maadui na hivyo ili kukabiliana nao ni muhimu kwanza kutambua udhaifu wetu ili kuelewa njia ambazo maadui hawa hutumia kujipenyeza na kutuathiri.
Habari ID: 3475413    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/23