iqna

IQNA

suleiman
Jiografia ya Matukio katika Qur'ani Tukufu/4
IQNA – Upeo wa utawala wa Mtume Suleiman (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-AS-) ulikuwa mkubwa kiasi kwamba hata falme kubwa zaidi katika historia zinaonekana kuwa ndogo ikilinganishwa ufalme wa nabii huyo.
Habari ID: 3478051    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/18

Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /32
TEHRAN (IQNA) – Baada ya kifo cha baba yake Dawoud (AS), Suleiman (AS) akawa nabii na mfalme wa Bani Isra’il.
Habari ID: 3476590    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/20