IQNA

Pep Guardiola asema yanaojiri  Gaza yanamuumiza moyoni, asema si suala la itikadi

Pep Guardiola asema yanaojiri Gaza yanamuumiza moyoni, asema si suala la itikadi

IQNA – Kocha wa klabu ya Manchester City, Pep Guardiola, ameelezea kwa uchungu hali ya mateso ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, akisema ni jambo linalomuumiza sana kila anapofikiria yanayoendelea katika eneo hilo.
15:19 , 2025 Jun 11
Tume huru ya UN: Israel inatekeleza mauaji ya kimbari Gaza

Tume huru ya UN: Israel inatekeleza mauaji ya kimbari Gaza

IQNA-Tume huru ya Umoja wa Mataifa imeutuhumu utawala wa Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki kwa kuwashambulia raia wa Kipalestina wanaohifadhiwa katika shule na maeneo ya kidini huko Gaza.
14:36 , 2025 Jun 11
CAIR yamuweka mbunge Randy Fine katika orodha ya ‘Wenye Chuki Dhidi ya Uislamu’

CAIR yamuweka mbunge Randy Fine katika orodha ya ‘Wenye Chuki Dhidi ya Uislamu’

IQNA – Baraza la Mahusiano ya Kiislamu na Marekani (CAIR) limemtaja mbunge katika Bunge la Marekani Randy Fine (R-FL) kuwa “mwenye msimamo mkali wa chuki dhidi ya Waislamu”, likimjumuisha katika orodha yake ya watu wenye chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia), kutokana na kile ilichokiita rekodi ya muda mrefu ya matamshi ya uchochezi dhidi ya Waislamu na Wapalestina.
14:29 , 2025 Jun 11
Saudia imeanza tena utoaji wa Visa za Umrah

Saudia imeanza tena utoaji wa Visa za Umrah

IQNA – Maombi ya visa za Umrah yameanza tena rasmi siku ya leo Jumanne, tarehe 10 Juni, hivyo kuwapa fursa waumini kutoka mataifa mbalimbali kuanza maandalizi ya safari tukufu kuelekea miji mitakatifu ya Makkah na Madinah kwa ajili ya Hija ndogo ya Umrah.
17:56 , 2025 Jun 10
Uingereza yatakiwa kuanzisha mkakati wa kitaifa kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu

Uingereza yatakiwa kuanzisha mkakati wa kitaifa kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu

IQNA – Ripoti mpya iliyotolewa Jumatatu imetoa wito kwa serikali ya Uingereza kuweka mkakati wa kitaifa wa pamoja kupambana na kuongezeka kwa cChuki Dhidi ya Uislamu (Islamophobia), ikionya kuwa mgawanyiko unaozidi katika jamii unadhoofisha imani ya wananchi kwa taasisi za umma na kutishia mshikamano wa kitaifa.
17:45 , 2025 Jun 10
Sababu za Israel kutumia uharamia kuzuia meli ya misaada ya Mdleen kufika Gaza

Sababu za Israel kutumia uharamia kuzuia meli ya misaada ya Mdleen kufika Gaza

IQNA-Katika hali ambayo, meli ya "Madleen" iliyokuwa imebeba misaada ya kibinadamu ilikuwa imekaribia Gaza, majeshi ya utawala haramu Israel yalishambulia meli hiyo katika hatua iliyotajwa kimataifa kuwa ni uharamia, na kuwateka nyara abiria wake na hivyo kuzuia misaada hiyo kufika Gaza.
17:37 , 2025 Jun 10
Qari wa Misri aibuka mshindi katika Mashindano ya Qur'ani ya Msikiti Mkuu wa Makka

Qari wa Misri aibuka mshindi katika Mashindano ya Qur'ani ya Msikiti Mkuu wa Makka

IQNA – Hamada Muhammad al-Sayyid, hafidh wa Qur'ani kutoka Misri, ameshinda nafasi ya kwanza katika mashindano ya kwanza ya kuhifadhi Qur'ani kwa Mahujaji, yaliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Makka
16:22 , 2025 Jun 10
Nakala za Qur'ani zasambazwa kwa Mahujaji wanaoondoka Saudia

Nakala za Qur'ani zasambazwa kwa Mahujaji wanaoondoka Saudia

IQNA — Zaidi ya nakala milioni mbili za Qur'ani Tukufu zinasambazwa miongoni mwa Mahujaji wanaorejea nyumbani baada ya ibada ya Hija nchini Saudi Arabia.
15:42 , 2025 Jun 10
Matukio ya Hija 1446  Katika Picha

Matukio ya Hija 1446 Katika Picha

IQNA – Kila mwaka wakati wa Hija, mamilioni ya Waislamu kutoka pembe zote za dunia hukusanyika kutekeleza ibada hii tukufu.
15:37 , 2025 Jun 09
Mfungamano wa Hija na Imani ya Nabii Ibrahim

Mfungamano wa Hija na Imani ya Nabii Ibrahim

IQNA – Qur’ani Tukufu inawakumbusha Watu wa Kitabu (Ahlul Kitab), wanaojinasibu kuwa wafuasi wa Nabii Ibrahim (AS), kuwa ikiwa madai yao ni ya kweli, basi wanapaswa kuamini msingi wa Ibrahimu katika ujenzi wa Kaaba na kuitambua kama Qibla (eneo la kuelekea wakati wa swala) ya kweli ya Mwenyezi Mungu.
15:32 , 2025 Jun 09
Pazia jipya la Kaaba lapokewa rasmi kabla ya sherehe ya mwaka ya kulibadilisha

Pazia jipya la Kaaba lapokewa rasmi kabla ya sherehe ya mwaka ya kulibadilisha

IQNA – Pazia jipya linalofunika Al-Kaaba Tukufu mjini Makkah, ambalo hujulikana kama Kiswa, limekabidhiwa rasmi kwa wasimamizi wa Msikiti Mtakatifu wa Makka yaani Masjid al Haram, ikiwa ni ishara ya mwanzo wa taratibu za kila mwaka za kubadilisha kiswahili hilo.
15:21 , 2025 Jun 09
Makumbusho ya Qiraa ya Qur'ani yazinduliwa Caiaro ili kuhifadhi turathi ya sauti

Makumbusho ya Qiraa ya Qur'ani yazinduliwa Caiaro ili kuhifadhi turathi ya sauti

IQNA – Makumbusho mapya yanayolenga kuhifadhi kumbukumbu adimu za Qiraa au usomaji wa Qur'ani wa maqari maarufu wa Misri yanatarajiwa kufunguliwa katika jengo la kihistoria la Maspero jijini Cairo, katika makao ya redio na televisheni ya taifa.
15:14 , 2025 Jun 09
Makumbusho ya Qur'ani Makkah yaonesha hati adimu

Makumbusho ya Qur'ani Makkah yaonesha hati adimu

IQNA – Maonesho ya kudumu katika Makumbusho ya Qur'ani jijini Makkah yanawapa wageni tajiriba ya kipekee ya kiutamaduni na kiroho kupitia hati nadra za Qur'ani na nakala kubwa zaidi ya Qur'ani duniani.
15:08 , 2025 Jun 09
Saudia yalitunuku Shirika la Hija la Iran Tuzo ya Labaytum ya  Huduma Bora za Hija

Saudia yalitunuku Shirika la Hija la Iran Tuzo ya Labaytum ya Huduma Bora za Hija

IQNA – Shirika la Hija la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetunukiwa Tuzo ya Labaytum kwa ubora katika Huduma kwa Mahujaji.
15:04 , 2025 Jun 09
Tafsiri ya Kwanza ya  Kiingereza ya Qur’ani iliyoandikwa na Muhammad al-Asi 

Tafsiri ya Kwanza ya  Kiingereza ya Qur’ani iliyoandikwa na Muhammad al-Asi 

IQNA – Tafsiri ya Qur’ani Tukufu  iliyoandikwa na Muhammad al-Asi ni ya aina yake kwani ni ya kwanza iliyooandikwa moja kwa moja kwa lugha ya Kiingereza. 
17:46 , 2025 Jun 08
4