IQNA

Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai yapokea zaidi ya maombi 5,600 kwa toleo la 2026

Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai yapokea zaidi ya maombi 5,600 kwa toleo la 2026

IQNA – Toleo la 28 la Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai limevutia maombi 5,618 kutoka nchi 105, ikiwa ni idadi ya juu zaidi hadi sasa, ambapo asilimia 30 ya waliowasilisha maombi ni wanawake.
21:07 , 2025 Jul 23
Warsha ya Qur’ani Katika Msikiti wa Mtume yalenga kukuza utaalamu wa Qira’at

Warsha ya Qur’ani Katika Msikiti wa Mtume yalenga kukuza utaalamu wa Qira’at

IQNA – Warsha ya mafunzo kuhusu misingi ya Qira’at kumi za Qur’ani Tukufu imezinduliwa katika Msikiti wa Mtume (SAW) - Al Masjid an Nabawi, mjini Madina, Saudi Arabia.
21:00 , 2025 Jul 23
Matembezi ya Arbaeen ni Dhamira Hai ya Mafundisho ya Qur’ani

Matembezi ya Arbaeen ni Dhamira Hai ya Mafundisho ya Qur’ani

IQNA – Afisa mmoja wa utamaduni nchini Iran ameeleza kuwa matembezi ya Arbaeen ni dhihirisho la wazi la mafundisho ya Qur’ani Tukufu kwa vitendo.
20:44 , 2025 Jul 23
Maonyesho ya Muharram nchini Tanzania yazingatia subira ya Bibi Zaynab (SA)

Maonyesho ya Muharram nchini Tanzania yazingatia subira ya Bibi Zaynab (SA)

IQNA – Mwaka huu, kwa mara ya sita mfululizo, vijana Waislamu wa madhehebu Kishia wa jamii ya Khoja Ithnashari nchini Tanzania wameandaa maonyesho ya Muharram yenye kaulimbiu ya "Subira na Msimamo wa Bibi Zaynab (SA)”.
16:03 , 2025 Jul 22
Wanazuoni wa Kiislamu duniani wataka mataifa ya Kiislamu kuisaidia Gaza

Wanazuoni wa Kiislamu duniani wataka mataifa ya Kiislamu kuisaidia Gaza

IQNA – Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) umetoa wito kwa serikali za Kiislamu na mataifa ya Waislamu kuchukua hatua na kufanya jihadi ili kuisaidia Gaza na kuwaokoa watu wasio na hatia walioko chini ya mzingiro wa Israel katika Ukanda wa Palestina.
15:53 , 2025 Jul 22
Polisi wa Denmark wachunguza shambulio dhidi ya Msikiti wa Imam Ali (AS)

Polisi wa Denmark wachunguza shambulio dhidi ya Msikiti wa Imam Ali (AS)

IQNA – Polisi katika mji mkuu wa Denmark, Copenhagen, wameanzisha uchunguzi kuhusiana na shambulio lililofanywa na kundi la vijana wa mrengo mkali dhidi ya Msikiti wa Imam Ali (AS).
15:39 , 2025 Jul 22
Mtaalamu kutoka Iran kujiunga na Jopo la Majaji wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’an Malaysia

Mtaalamu kutoka Iran kujiunga na Jopo la Majaji wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’an Malaysia

IQNA – Kwa mara ya kwanza baada ya karibu miongo miwili, mtaalamu wa Qur’an Tukufu kutoka Iran atahudhuria kama jaji katika mashindano ya kimataifa ya Qur’an nchini Malaysia.
15:27 , 2025 Jul 22
Msahafu ulioandikwa kwa mkono India kukabidhiwa Jumba la Makumbusho la Madina

Msahafu ulioandikwa kwa mkono India kukabidhiwa Jumba la Makumbusho la Madina

IQNA – Msahafu au nakala adimu ya Qur’an Tukufu iliyoandikwa kwa mkono juu ya kitambaa inatazamiwa kutolewa rasmi kama zawadi kutoka India kwa Saudi Arabia, kwa ajili ya kuonyeshwa katika Jumba la Makumbusho la Qur’an lililo karibu na Msikiti wa Mtume, Al Masjid an Nabawi (SAW) huko Madina.
15:22 , 2025 Jul 22
Bango | Kwa Neno la Siri “Ya Hussein (AS)” Tumepata Ushindi

Bango | Kwa Neno la Siri “Ya Hussein (AS)” Tumepata Ushindi

Kama si tukio la Karbala na kuiga mfano wa mashujaa wake, Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yasingalipata ushindi. [Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu; 26 Juni 1993]
14:20 , 2025 Jul 22
Misri yaadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Qari mashuhuri Sheikh Mahmud Ali Al-Banna

Misri yaadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Qari mashuhuri Sheikh Mahmud Ali Al-Banna

IQNA – Taasisi ya Al-Azhar na Wizara ya Wakfu ya Misri zimemuenzi Sheikh Mahmud Ali Al-Banna, mmoja wa wasomaji wa Qur’ani mashuhuri wa karne ya 20, katika maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo chake.
21:15 , 2025 Jul 21
Msomi: Mashambulizi ya Marekani na Israel yalilenga kuzuia ustawi wa Iran

Msomi: Mashambulizi ya Marekani na Israel yalilenga kuzuia ustawi wa Iran

IQNA – Profesa Ali Montazeri, Mkuu wa Akademia ya Kitaifa cha Elimu, Utamaduni na Utafiti (ACECR) nchini Iran, amesema kuwa lengo la mashambulizi ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya Iran ni kuzuia maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia ya taifa hilo.
21:09 , 2025 Jul 21
Ubunifu katika usomaji wa Maqari wa Iran: Mada Kuu ya Mkutano wa 20 wa Wataalamu wa Qur’ani

Ubunifu katika usomaji wa Maqari wa Iran: Mada Kuu ya Mkutano wa 20 wa Wataalamu wa Qur’ani

IQNA – Mkutano wa 20 wa wataalamu wa Qur’ani, makari na wahifadhi wa Iran utafanyika mwezi Novemba mwaka huu chini ya usimamizi wa Baraza Kuu la Qur’ani.
20:58 , 2025 Jul 21
Papa Leo XIV alaani ‘Unyama’ wa Mashambulizi ya Israeli na mzingiro wa Gaza

Papa Leo XIV alaani ‘Unyama’ wa Mashambulizi ya Israeli na mzingiro wa Gaza

IQNA – Papa Leo XIV amelaani vikali vita vinavyoendelezwa na utawala wa Kizayuni wa Israel Gaza, akielezea vita hiyo kuwa ya “kinyama” na kukosoa matumizi holela ya nguvu, huku makumi ya Wapalestina wakiripotiwa kuuawa wakiwa kwenye foleni ya msaada wa chakula.
20:42 , 2025 Jul 21
Idhaa ya Qur'ani ya Misri yapokea turathi za utamaduni za Qari ,ashuhuri Ahmed Shabib

Idhaa ya Qur'ani ya Misri yapokea turathi za utamaduni za Qari ,ashuhuri Ahmed Shabib

IQNA – Katika jitihada za kuhifadhi urithi wa makari maarufu wa Qur'ani wa Misri na kutambua mchango wao wa kipekee, Idhaa ya Qur'ani ya Misri imepokea mali binafsi na vifaa vya kitamaduni vilivyokuwa mali ya Marehemu Sheikh Muhammad Ahmed Shabib.
19:40 , 2025 Jul 21
Mtaalamu wa Lebanon: Iran imezima Mpango wa Marekani na Israel wa “Mashariki ya Kati Mpya”

Mtaalamu wa Lebanon: Iran imezima Mpango wa Marekani na Israel wa “Mashariki ya Kati Mpya”

IQNA – Mtaalamu kutoka chuo kikuu nchini Lebanon amesema kuwa lengo la utawala wa Kizayuni katika vita vya siku 12 dhidi ya lilikuwa kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusukuma mbele mpango wao wa “Mashariki ya Kati Mpya”, lakini muqawama na kusimama kidete Iran kuliuzuia.
20:12 , 2025 Jul 20
8